Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—2001 | Oktoba 22
    • Mfumo wa Kinga Nilimpa daktari mmoja anayehusika na madawa ya kinga, toleo la Februari 8, 2001, lililokuwa na makala “Walinzi Wanaolinda Afya Yako.” Alifurahia picha iliyo kwenye ukurasa wa 15 iliyoonyesha chembe nyeupe za damu zikishambulia bakteria. Aliikuza picha hiyo na kuiweka katika fremu, na sasa anaitumia kuwafundisha wengine kuhusu mfumo wa kinga.

      H. K., Japani

  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—2001 | Oktoba 22
    • Mimi ni daktari, na nilijifunza elimu ya kingamaradhi nilipokuwa mwanafunzi wa tiba. Maelezo ya kitabu cha mafunzo kuhusu mfumo wa kinga yalikuwa magumu kueleweka, lakini makala hiyo ilikuwa yenye kupendeza sana. Ilitoa muhtasari kwa njia yenye kueleweka. Wakati mmoja mhadhiri alisema kwamba tunapojifunza kuhusu mfumo wa kinga hatuwezi kupuuza wazo la kwamba uliumbwa na Mungu. Natazamia makala nyingine zenye kupendeza kuhusu mwili wa binadamu.

      N. K., Japani

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki