-
Uhitaji Unaoongezeka wa Tiba na Upasuaji Bila DamuAmkeni!—2000 | Januari 8
-
-
“Wale wote wanaoshughulika na damu na wagonjwa wanaopasuliwa wahitaji kufikiria upasuaji bila damu.”—Dakt. Joachim Boldt, profesa wa unusukaputi, Ludwigshafen, Ujerumani.
-
-
Uhitaji Unaoongezeka wa Tiba na Upasuaji Bila DamuAmkeni!—2000 | Januari 8
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 7]
Wanavyosema Madaktari Fulani
‘Upasuaji bila damu si kwa ajili ya Mashahidi wa Yehova peke yao bali ni kwa ajili ya wagonjwa wote. Nafikiri kwamba kila daktari apaswa kuutumia.’—Dakt. Joachim Boldt, profesa wa unusukaputi, Ludwigshafen, Ujerumani.
“Ingawa kutiwa damu mishipani ni salama zaidi ya wakati uliopita, bado kwahusisha hatari, zinazotia ndani maitikio ya kinga na kupatwa na mchochota wa ini au maradhi yanayopitishwa kingono.” —Dakt. Terrence J. Sacchi, tabibu aliye naibu wa profesa wa tiba.
“Kuhusu utiaji-damu mishipani, matabibu wengi hutenda mara moja kwa kuwatia watu damu kwa wingi bila kubagua. Mimi sifanyi hivyo.” —Dakt. Alex Zapolanski, mkurugenzi wa upasuaji wa moyo kwenye Taasisi ya Moyo ya San Francisco.
“Sioni upasuaji wowote wa tumbo ulio wa kawaida kwa mgonjwa wa kawaida ukihitaji utiaji-damu mishipani.” —Dakt. Johannes Scheele, profesa wa upasuaji, Jena, Ujerumani.
[Picha]
Dakt. Joachim Boldt
Dakt. Terrence J. Sacchi
-