-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.”—Isaya 40:29-31.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
d Tai huelea kwa kutumia nguvu kidogo sana. Yeye hufanya hivyo akitumia kwa ustadi mawimbi yanayoinuka ya hewa joto.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kielezi cha tai, ndege mwenye nguvu awezaye kupaa kwa saa kadhaa pasipo kutua kana kwamba hatumii nguvu, kimetumiwa kuonyesha jinsi Yehova anavyowapa watumishi wake nguvu.d
-