-
Dunia Ipo Mahali Bora ZaidiAmkeni!—2009 | Februari
-
-
Pia, urefu wa mchana na usiku ni sahihi sana kwa sababu ya mzunguko wa dunia. Ikiwa dunia ingezunguka kwa muda mrefu zaidi, upande wa dunia unaoelekea jua ungeunguzwa na ule upande mwingine ungeganda. Vivyo hivyo, ikiwa siku zingekuwa fupi zaidi, hata kwa saa chache tu, kuzunguka huko kasi kungesababisha pepo zenye nguvu sana na zisizokoma na vilevile madhara mengine.
-
-
Dunia Ipo Mahali Bora ZaidiAmkeni!—2009 | Februari
-
-
Dunia ina mzingo wa kilomita 40,000 na inazunguka mara moja kila saa 24. Hivyo, maeneo yaliyo kwenye ikweta au karibu yanasonga kwa kilomita 1,600 hivi kwa saa. (Bila shaka, ncha za dunia hazisongi, zinazunguka hapohapo.)
-