-
Je, Misiba ya Asili Inaongezeka?Amkeni!—2005 | Julai 22
-
-
Desemba 26, saa 11:26 alfajiri, tetemeko kubwa la nchi lilitokea kilometa nane kusini ya jiji la Bam huko Iran. Tetemeko hilo la kipimo cha 6.5 liliharibu asilimia 70 ya jiji hilo, likaua watu 40,000, na kuacha watu zaidi ya 100,000 bila makao. Huo ndio msiba mbaya zaidi wa asili uliotukia mwaka huo. Pia liliharibu sehemu kubwa ya ngome ya Arg-e-Bam iliyokuwa imedumu kwa miaka 2,000, na kufanya jiji la Bam lipoteze pesa zinazoletwa na watalii ambao huja kuiona.
-
-
Je, Misiba ya Asili Inaongezeka?Amkeni!—2005 | Julai 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 4, 5]
IRAN 2003, Tetemeko la nchi huko Bam lawaua watu 40,000; wanawake waombolezea jamaa zao katika kaburi la jumla
[Hisani]
Background and women: © Tim Dirven/Panos Pictures
-