Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jinsi Mashahidi wa Yehova Huona Elimu
    Mashahidi wa Yehova na Elimu
    • “Elimu yapaswa kusaidia watu wawe washiriki wa jamii wenye mafaa. Yapaswa pia kuwasaidia wasitawishe ufahamu wa urithi wao wa kitamaduni na kuishi maisha yenye kuridhisha zaidi.”

      KAMA vile nukuu hili kutoka katika The World Book Encyclopedia lidokezavyo, mojapo makusudi makuu ya elimu ni kuzoeza watoto kwa ajili ya maisha ya kila siku, ambalo latia ndani kuwawezesha kutunza mahitaji ya familia siku moja.

  • Jinsi Mashahidi wa Yehova Huona Elimu
    Mashahidi wa Yehova na Elimu
    • Miaka inayotumiwa shuleni hutayarisha watoto kwa ajili ya madaraka watakayopata maishani.

  • Jinsi Mashahidi wa Yehova Huona Elimu
    Mashahidi wa Yehova na Elimu
    • Picha katika ukurasa wa 6-7

      Starehe ifaayo, muziki, mambo ya kujifurahisha, mazoezi ya kimwili, na kuzuru maktaba na nyumba za kuhifadhi mambo ya kale yote ni sehemu ya maana katika elimu yenye usawaziko

      Elimu yenye mafanikio yapasa pia ikuze ndani ya watoto shangwe ya kuishi, na kuwasaidia wachukue mahali pao katika jamii wakiwa watu mmoja-mmoja wenye usawaziko mzuri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki