-
Mitindo InayobadilikaAmkeni!—2003 | Septemba 8
-
-
Kwa mfano, katika Misri ya kale, kitani kinachoonyesha mwili ambacho kilitengenezwa nchini humo ndicho kilichopendwa sana, nacho kilifaa wakati wa joto. Lakini kwa kuwa kitani hakingeweza kutiwa rangi kwa urahisi, kwa kawaida kilikuwa cha rangi moja tu, nyeupe. Hata hivyo, wabuni Wamisri walishona vitambaa na kuvitia mikunjo na maumbo yenye kupendeza. Basi, mojawapo ya mitindo yenye kudumu zaidi ulimwenguni ikabuniwa.
-
-
Mitindo InayobadilikaAmkeni!—2003 | Septemba 8
-
-
[Picha katika ukurasa wa 4]
Vazi hili la kale la kitani la Misri lilikuwa mojawapo ya mitindo iliyodumu zaidi ulimwenguni
[Hisani]
Photograph taken by courtesy of the British Museum
-