Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Timiza kwa Ukamili Huduma Yako”
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • 2 Wakristo wote waliojiweka wakfu hufanya kazi ya kueneza injili, lakini waangalizi, au wazee hasa, wanahitaji kuweka kielelezo kizuri katika huduma. Wazee “wanaofanya kazi kwa bidii katika kusema na kufundisha” wanatambuliwa na Mungu na Kristo, na pia Mashahidi wenzao. (1 Timotheo 5:17; Waefeso 5:23; Waebrania 6:10-12)

  • “Timiza kwa Ukamili Huduma Yako”
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • Ili mzee atumie wakati mwingi zaidi kwa ajili ya utumishi wa shambani, anahitaji kupanga mambo yake vizuri ili ratiba yake iwe na usawaziko na ajue mambo atakayowapa wengine wafanye na kuwaonyesha jinsi ya kuyafanya. (Waebrania 13:17) Kwa kawaida, mzee anayeheshimiwa pia hutimiza daraka lake, kama Nehemia, ambaye alishiriki kibinafsi katika ujenzi wa kuta za Yerusalemu. (Nehemia 5:16) Nao watumishi wote wa Yehova wanapaswa kushiriki kwa ukawaida katika kazi ya kuhubiri Ufalme.—1 Wakorintho 9:16-18.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki