-
‘Penda Kweli na Amani’!Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
-
-
Kwa kweli na hukumu ya amani mfanye hukumu zenu malangoni mwenu.
-
-
‘Penda Kweli na Amani’!Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
-
-
Yehova huwataka watafute “hukumu ya amani,” wakijaribu, wakiwa wachungaji Wakristo, kurudisha amani kati ya watu wanaozozana na kuwasaidia watenda dhambi wenye toba wapate tena amani pamoja na Mungu. (Yakobo 5:14, 15; Yuda 23) Wakati uo huo, wao huhifadhi amani ya kutaniko, kwa moyo mkuu wakiondosha nje wale wanaoharibu amani hiyo kwa kuendelea kutenda makosa kimakusudi.—1 Wakorintho 6:9, 10.
-