-
Kutembelea Kituo cha Viungo BandiaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
[Picha]
Mikono inayoelekezwa na elektroni hutumia ishara za misuli kuongoza mwendo na uwezo wa kushika vitu
[Hisani]
Hands: © Otto Bock HealthCare
-
-
Kutembelea Kituo cha Viungo BandiaAmkeni!—2006 | Februari
-
-
Sasa mfumo wa kielektroniki pia unatumiwa kwa ajili ya kuunganisha mikono bandia. Mikazo kutoka kwenye misuli ya mkono, ambayo bado huwapo katika sehemu ya mkono iliyobaki, hutendesha elektroni. Mikazo hiyo midogo huvumishwa na kutumiwa kuongoza mifumo ya elektroniki katika kiungo hicho bandia. Teknolojia ya kisasa ya mikono bandia hutumia kompyuta kuwezesha mkono bandia wa mgonjwa ufanye kazi vizuri.
-