-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Wakati Mashahidi wa Yehova walipokuja chini ya mnyanyaso mkali katika Ujerumani, idadi katika Yugoslavia iliimarishwa na mapainia Wajerumani. Bila kuhangaikia raha ya kibinafsi, walijitahidi kufikia sehemu za mbali za nchi hii yenye milima ili kuhubiri. Wengine kati ya mapainia hao walienda Bulgaria. Jitihada zilikuwa zikifanywa pia kuhubiri habari njema katika Albania.
-
-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Ramani katika ukurasa wa 432]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
Wakati wa miaka ya 1920 na ya 1930, waeneza-evanjeli walitoka Ujerumani wakaenda nchi nyingi ili kutoa ushahidi
UJERUMANI
↓ ↓
AMERIKA KUSINI
AFRIKA KASKAZINI
ASIA
-