Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Mageuzi Ni Jambo Hakika?
    Amkeni!—2006 | Septemba
    • b Ijapokuwa neno “spishi” limetumiwa mara nyingi katika makala hii, neno hilo halimo katika Biblia, kwani Biblia inatumia neno “aina” ambalo lina maana pana. Kwa kawaida, kile ambacho wanasayansi hurejelea kuwa badiliko katika spishi ni tofauti zilizopo katika “aina” fulani ya viumbe katika Biblia.

  • Je, Mageuzi Ni Jambo Hakika?
    Amkeni!—2006 | Septemba
    • g Taarifa: Mwanzo sura ya 1 inasema mimea na wanyama waliumbwa “kulingana na aina yake.” (Mwanzo 1:12, 21, 24, 25) Hata hivyo, neno “aina” katika Biblia halitumiwi kwa njia hususa na halipaswi kueleweka kuwa na maana sawa na neno “spishi” linalotumiwa katika sayansi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki