Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Bado Inawezekana Kuwa na Imani ya Kweli?
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Oktoba 1
    • ‘Imani ni kuwa na uhakika thabiti katika wema wa Mungu, ni uhakika ulio kamili hivi kwamba mwamini anaweza kuhatarisha uhai wake mara elfu.’—MARTIN LUTHER, 1522.

  • Je, Bado Inawezekana Kuwa na Imani ya Kweli?
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Oktoba 1
    • Imani ya Kweli

      Kwa watu wengi neno “imani” linamaanisha kuamini jambo fulani la kidini au kufuata ibada ya namna fulani. Hata hivyo, katika Biblia neno “imani” kwa msingi lamaanisha tumaini kamili—kuwa na uhakika kamili katika Mungu na ahadi zake. Ni sifa inayomtambulisha mwanafunzi wa Yesu Kristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki