-
Je, Mfungo Ni Jambo la Kale?Mnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 15
-
-
Kwa watu wazima Waislamu kwa ujumla, mfungo ni lazima wakati wa mwezi wa Ramadhani. Hakuna chakula wala maji yapaswayo kunywewa kuanzia macheo hadi machweo kwa huo mwezi mzima. Yeyote aliye mgonjwa au aliye safarini wakati huo lazima alipie siku za mfungo.
-
-
Je, Mfungo Ni Jambo la Kale?Mnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 15
-
-
Katika Uislamu, mfungo ni lazima wakati wa mwezi wa Ramadhani
-