-
Je, Kufunga Ni Njia ya Kumkaribia Mungu?Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
Aliwaambia wanafunzi wake jinsi ya kufunga kwa njia inayofaa, lakini hakuwaamuru kamwe wafunge. (Mathayo 6:16-18; 9:14)
-
-
Je, Kufunga Ni Njia ya Kumkaribia Mungu?Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
Pia, haifai kuwaambia wengine kwamba umefunga, au kufunga kwa sababu mtu mwingine anakuambia ufunge. Katika andiko la Mathayo 6:16-18, Yesu alieleza kwamba kufunga ni jambo la kibinafsi, kati yako na Mungu, na hupaswi kuwaambia wengine kwamba umefunga.
-