Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutafuta Mambo Yaliyokusudiwa Kimbele ya Mwanadamu
    Amkeni!—1999 | Agosti 8
    • Waroma walikuwa pia na miungu mitatu kama hiyo waliyoiita Parcae.

      Waroma na Wagiriki walikuwa na hamu ya kujua tukio lisiloepukika ambalo lilidhaniwa kuwa lingewapata mwishowe. Hivyo, waliiga na kuendeleza zaidi unajimu na uaguzi wa Babiloni. Waroma waliyaita matukio yaliyotumiwa kutabiri wakati ujao portenta, au ishara. Jumbe ambazo zilitolewa na ishara hizi ziliitwa omina.

  • Kutafuta Mambo Yaliyokusudiwa Kimbele ya Mwanadamu
    Amkeni!—1999 | Agosti 8
    • Katika kujaribu kujua matukio ya wakati ujao, Wagiriki na Waroma walienda sana kwa waaguzi au wawasiliani-roho. Ilidhaniwa kwamba miungu iliwasiliana na wanadamu kupitia watu. (Linganisha Matendo 16:16-19.) Matokeo ya itikadi hizi yalikuwa nini? Mwanafalsafa Bertrand Russell alisema hivi: “Hofu ikazuka badala ya tumaini; kusudi la maisha lilikuwa kuepuka misiba badala ya kutumia maisha kwa njia inayofaa.” Mambo kama hayo yakawa ubishi katika Jumuiya ya Wakristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki