-
Hofu Inayofaa na IsiyofaaMnara wa Mlinzi—2002 | Februari 15
-
-
Hofu inayofaa humwezesha mtu kuwa mwangalifu anapokabiliana na hatari, na hivyo kuepuka msiba,
-
-
Hofu Inayofaa na IsiyofaaMnara wa Mlinzi—2002 | Februari 15
-
-
Hata hivyo, hofu yaweza kumaanisha pia kutambua au kufikiria kitu ambacho kinaweza kujeruhi au kuharibu. Utambuzi huo humfanya mtu kuwa mwangalifu na mwenye busara.
-
-
Hofu Inayofaa na IsiyofaaMnara wa Mlinzi—2002 | Februari 15
-
-
Hofu hiyo imefafanuliwa hivi katika Mithali 8:13: “Kumcha [“kumhofu,” NW] BWANA ni kuchukia uovu.” Hofu hiyo itamfanya mtu aepuke mwendo mbaya, kwa sababu, “kwa kumcha [“kumhofu,” NW] BWANA watu hujiepusha na maovu.”—Mithali 16:6.
-