-
Kuimba Wimbo Mpya wa Sherehe ya UshindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
akisema kwa sauti kubwa: ‘Hofuni Mungu na kumpa yeye utukufu, kwa sababu saa ya hukumu kwa yeye imewasili, na hivyo abuduni yule Mmoja ambaye alifanyiza mbingu na dunia na bahari na vibubujiko vya maji.’” (Ufunuo 14:6, 7, NW)
-
-
Kuimba Wimbo Mpya wa Sherehe ya UshindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
17 Kila mmoja anahimizwa ahofu, si yule hayawani-mwitu na mfano wake, bali Yehova, ambaye bila kulinganika ni mwenye nguvu zaidi ya hayawani yeyote wa ufananisho anayedhibitiwa na Shetani. Kwani, Yehova aliumba mbingu na dunia, na sasa wakati umekuja ahukumu dunia! (Linga Mwanzo 1:1; Ufunuo 11:18.)
-