Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Muumba Aweza Kufanya Maisha Yako Yawe na Maana Zaidi
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Juni 15
    • Hapa pana njia moja ya kusababu ambayo unaweza kutumia unapowasaidia wengine wafikie uamuzi. Kwanza unaweza kuuliza: Je, ulimwengu ulikuwa na mwanzo? Wengi watakubali. Kisha uliza: Je, mwanzo huo ulitokea wenyewe tu, au ulitokezwa? Watu wengi hutambua kwamba mwanzo wa ulimwengu ulitokezwa. Hilo latokeza swali la mwisho: Je, mwanzo huo ulitokezwa na kitu fulani cha milele au na Mtu fulani wa milele? Hoja zikitolewa kwa njia hiyo ya wazi na yenye kupatana na akili, wengi waweza kusaidiwa wafikie uamuzi huu: Ni lazima iwe kuna Muumba!

  • Muumba Aweza Kufanya Maisha Yako Yawe na Maana Zaidi
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Juni 15
    • Umeamuaje?

      Ulimwengu wetu

      ↓ ↓

      Haukuwa Ulikuwa

      na Mwanzo na Mwanzo

      ↓ ↓

      Haukutokezwa Ulitokezwa

      ↓ ↓

      Na KITU Na MTU wa

      cha Milele Milele

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki