Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nilijifunza Kumtegemea Yehova Kabisa
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Novemba 1
    • Kuhubiri Tukitumia Gari Lenye Kipaaza-Sauti

      Tulitumia vizuri gari lenye kipaaza-sauti kutangaza Ufalme wa Mungu. Katika jiji la Townsville huko Queensland kaskazini, polisi walituruhusu tupige kambi katikati ya jiji. Hata hivyo, hotuba iliyorekodiwa iliwakasirisha washiriki fulani wa Jeshi la Wokovu, nao wakatuambia tuondoke. Tulipokataa, watano kati yao walitikisa gari letu kwa nguvu sana. Wakati huo, nilikuwa ndani ya gari nikishughulikia mfumo wa sauti! Halikuwa jambo la hekima kushikilia haki zetu, hivyo wanaume hao walipoondoka, tulihama eneo hilo.

  • Nilijifunza Kumtegemea Yehova Kabisa
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Novemba 1
    • [Picha katika ukurasa wa 9]

      Tulitumia gari hili lenye kipaaza-sauti huko Queensland kaskazini

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki