-
Je,Unaweza Kupata Amani ya Akili?Mnara wa Mlinzi—2000 | Julai 1
-
-
Gerson, aliyekuwa mtoto mwenye kurandaranda mitaani huko Salvador, Brazili, alitaka maisha ya kujasiria. Alisafiri bila kusudi kutoka jiji hadi jiji, akiomba lifti kwa madereva wa malori. Muda si muda akawa mraibu wa dawa za kulevya, akinyang’anya watu ili kugharimia zoea hilo baya. Polisi walimkamata mara kadhaa. Hata hivyo, Gerson alitamani amani ya akili japo alikuwa mchokozi na mjeuri. Je, angeweza kuipata?
-
-
Unaweza Kupata Wapi Amani ya Akili?Mnara wa Mlinzi—2000 | Julai 1
-
-
Namna gani Gerson? Yeye sasa hasafiri bila kusudi wala haibi. Maisha ya Gerson, ambaye zamani alikuwa mtoto mwenye kurandaranda mitaani, sasa yana maana kwa sababu yeye hutumia nguvu zake kuwasaidia wengine wapate amani ya akili. Kama vile mambo hayo yaliyoonwa yaonyeshavyo, kujifunza Biblia na kutumia yale isemayo kunaweza kubadili maisha ya mtu yawe bora.
-