-
Je, Unapaswa Kushika Sabato ya Kila Juma?Mnara wa Mlinzi—2010 | Februari 1
-
-
Je, Unapaswa Kushika Sabato ya Kila Juma?
MWISHONI mwa miaka ya 1980, vikundi vidogo vya Wamethodisti vilivamia Suva, mji mkuu wa Fiji. Wanaume, wanawake, na watoto—wote wakiwa wamevalia mavazi ya kidini waliweka vizuizi 70 barabarani. Walisimamisha magari yote na kuzuia ndege zote za kimataifa na za ndani ya nchi zisisafiri. Kwa nini walifanya hivyo? Walitaka sheria kali iwekwe inayomlazimisha kila mtu nchini humo kushika Sabato.
-
-
Je, Unapaswa Kushika Sabato ya Kila Juma?Mnara wa Mlinzi—2010 | Februari 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 11]
Magazeti yaliyozungumza kuhusu vizuizi vya barabarani vilivyowekwa na Wamethodisti waliotaka kila mtu katika nchi ya Fiji aanze tena kushika Sabato
[Hisani]
Courtesy of the Fiji Times
-