-
Urusi2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Katika 1912, Ndugu Russell alitembelea Finland, ambayo wakati huo ilikuwa sehemu ya Milki ya Urusi. Kaarlo Harteva, alipewa mamlaka ya kisheria kuwakilisha Watch Tower Bible and Tract Society huko Finland. Septemba 25, 1913, Mwakilishi wa Milki ya Urusi huko New York, aliweka sahihi yake na kutia muhuri wa serikali kwenye hati hiyo ya mamlaka ya uwakilishi.
-
-
Urusi2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 74]
Cheti cha mamlaka ya uwakilishi alichopewa Kaarlo Harteva (kulia) ambacho Mwakilishi wa Milki ya Urusi huko New York aliweka muhuri wa serikali
-