-
Mto Mkubwa wa Amazon Unawategemeza MamilioniAmkeni!—2003 | Novemba 8
-
-
Chapa ya Kireno ya kitabu Vida Selvagem nos Rios (Makao ya Wanyama wa Porini) inasema: “Imekadiriwa kwamba Mto Amazon una aina 2,000 hivi za samaki, ambao ni wengi kuliko samaki walio katika mto mwingine wowote duniani.” Baada ya kutembelea eneo la Amazon, mtaalamu maarufu wa bahari Jacques-Yves Cousteau alisema kwamba ‘samaki walio katika Amazon ni wengi kuliko wale walio katika Bahari ya Atlantiki.’
-
-
Mto Mkubwa wa Amazon Unawategemeza MamilioniAmkeni!—2003 | Novemba 8
-
-
Isitoshe, kuna pirarucu, samaki mkubwa wa maji baridi anayeitwa pia chewa wa Brazili. Kwa wastani, ana urefu wa zaidi ya meta 2 na uzito wa kilogramu 70 hivi.
-