-
Kutounga Mkono Upande WowoteKutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
“Wakristo walikataa . . . kumtolea dhabihu shujaa maliki—leo ni kama kukataa kusalimu bendera au kukariri maneno ya kiapo cha utii.
-
-
Kutounga Mkono Upande WowoteKutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
“Tendo la kumwabudu maliki lilihusisha kunyunyiza uvumba kidogo au matone machache ya divai juu ya madhabahu iliyosimama mbele ya sanamu ya maliki. Labda kwa kuwa sasa mambo hayo ni ya zamani kwetu, tunaona kwamba tendo hilo kuwa sawa na . . . kuinua tu mkono ili kusalimu bendera au mtawala mashuhuri wa serikali, ili kuonyesha heshima, staha na uzalendo.
-