-
“Wao Si Sehemu ya Ulimwengu”Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika Juni 3, 1935, kwenye mkusanyiko katika Washington, D.C., wakati J. F. Rutherford alipoombwa atoe maelezo juu ya kusalimu bendera shuleni, alikazia uaminifu kwa Mungu. Miezi michache baadaye, wakati Carleton B. Nichols, Jr., mwenye miaka minane, wa Lynn, Massachusetts, alipokataa kusalimu bendera ya Marekani na kujiunga katika kuimba wimbo wa kizalendo, jambo hilo liliripotiwa magazetini nchini pote.
-
-
“Wao Si Sehemu ya Ulimwengu”Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika Marekani, suala la ufaaji wa kumlazimisha mtu yeyote asalimu bendera lilipelekwa mahakamani. Katika Juni 14, 1943, Mahakama Kuu Zaidi ya Marekani ilibadili uamuzi wayo yenyewe wa hapo mapema na, katika kesi ya West Virginia State Board of Education v. Barnette, ikaamua kwamba kusalimu bendera kwa kulazimishwa hakupatani na hakikisho la uhuru lililoandikwa katika katiba ya taifa lenyewe.b
-