-
Miaka Sabini ya Kushikilia Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye MyahudiMnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 15
-
-
Niliamua kurekebisha hali hiyo kwa kujiandikisha katika shule ambayo ilifundisha Kifaransa kwa wageni. Nilihudhuria masomo pindi za jioni wakati ambao hakukuwa na mikutano. Nilianza kupenda lugha ya Kifaransa, na tangu wakati huo nimezidi kuipenda lugha hiyo. Hilo limethibitika kuwa msaada mkubwa kwani nimeweza kusaidia tawi la Ufaransa katika kazi ya kutafsiri. Baadaye, nikawa mtafsiri, nikitafsiri kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa. Lilikuwa pendeleo kuwatafsiria ndugu wanaozungumza Kifaransa duniani pote chakula bora cha kiroho kinachoandaliwa na jamii ya mtumwa.—Mt. 24:45-47.
-
-
Miaka Sabini ya Kushikilia Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye MyahudiMnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 15
-
-
Baada ya harusi yetu, mimi na Esther tuliishi nje ya Betheli. Niliendelea kutafsiri kwa ajili ya Betheli na Esther alitumikia akiwa painia wa pekee kwenye viunga vya jiji la Paris.
-