Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Willy Unglaube alikuwa miongoni mwao. Baada ya kutumikia kwa wakati katika Betheli ya Magdeburg, katika Ujerumani, alisonga mbele akashughulikie migawo akiwa mweneza-evanjeli wa wakati wote katika Ufaransa,

  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Wakati mwito ulipotolewa kutoka Ufaransa wa kupata msaada wakati wa miaka ya 1930, makolpota kutoka Uingereza walitoa ithibati kwamba walikuwa wanajua kwamba utume wa Kikristo wa kuhubiri ulitaka kueneza evanjeli si katika nchi yao tu bali pia katika sehemu nyingine za dunia. (Mk. 13:10) John Cooke alikuwa mmojawapo wa wafanyakazi wenye bidii aliyeitikia mwito wa Kimakedonia. (Linganisha Matendo 16:9, 10.) Wakati wa miongo sita iliyofuata, yeye alishughulikia migawo ya utumishi katika Ufaransa,

  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kutoka Ujerumani wafanyakazi wenye moyo wa kupenda wakati wa miaka ya 1920 na ya 1930 walichukua migawo katika sehemu nyingi kama vile Austria, Ubelgiji, Bulgaria, Chekoslovakia, Ufaransa,

  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kaka yake Eric aliacha kazi kwenye Benki ya Barclay akajiunga na John katika huduma ya wakati wote Ufaransa;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki