-
Magumu ya Vita Yalinitayarisha kwa Ajili ya MaishaAmkeni!—2004 | Juni 22
-
-
Mwaka wa 1966, nilialikwa kuhudhuria darasa la 43 la shule ya Gileadi huko Marekani ambayo huwazoeza wahudumu wa Mashahidi wa Yehova kwa ajili ya kazi ya umishonari. Kisha, baada ya kuhitimu, mimi na Günther Reschke tulitumwa huko Gabon, Afrika Magharibi, mnamo Aprili 1967. Tulipofika Libreville, jiji kuu la Gabon, tulikaa kwenye kile chumba kidogo kilichotajwa katika utangulizi, na tuliweka nguo zetu katika chumba cha kulia chakula. Miezi sita baadaye tulihamia makao mengine ya mishonari.
Huko Gabon, tatizo langu kubwa lilikuwa kujifunza Kifaransa. Hatimaye, baada ya jitihada nyingi nikakijua kwa kiasi fulani. Kisha mwaka wa 1970, kazi yetu ya kuhubiri ikapigwa marufuku kwa ghafula nchini Gabon, nasi mishonari tukaamuriwa tuondoke nchini humo kabla ya majuma mawili kwisha.
-
-
Magumu ya Vita Yalinitayarisha kwa Ajili ya MaishaAmkeni!—2004 | Juni 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 20]
Nikitumikia nikiwa mishonari huko Gabon
-