-
Njoo Upumzike VanuatuAmkeni!—2007 | Septemba
-
-
Hata sherehe ya kale ya uzazi kwenye Kisiwa cha Pentecost ilichochea zoea la watu kuruka kutoka juu sana wakiwa wamefungwa kamba inayonyumbuka miguuni. Kila mwaka wakati wa mavuno ya viazi vikuu, wanaume na vijana huruka kutoka kwenye mnara uliotengenezwa kwa mbao wenye urefu wa mita 20 hadi 30. Kamba-kamba za mmea wa mzabibu zilizofungwa kwenye miguu yao ndizo tu huwazuia wasianguke chini na kufa. Vichwa vya warukaji hao vinapogusa ardhi inatazamiwa kwamba “watarutubisha” ardhi kwa ajili ya mavuno ya mwaka unaofuata.
-
-
Njoo Upumzike VanuatuAmkeni!—2007 | Septemba
-
-
[Picha katika ukurasa wa 16]
Warukaji hujihusisha katika zoea hili hatari sana katika sherehe ya kale ya uzazi
[Hisani]
© Kirklandphotos.com
-