-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Wenye furaha ni wale ambao hufua majoho yao ili mamlaka ya kwenda kwenye miti ya uhai imkini kuwa yao na kwamba wao wamkini kupata mwingilio ndani ya jiji kupitia malango yalo.
-
-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Baada ya kifo chao wakiwa binadamu, wanapata mwingilio ndani ya Yerusalemu Jipya kwa ufufuo. Malaika 12 wanawaruhusu kuingia ndani, huku wakizuia wowote wanaozoea uwongo au utovu wa usafi ingawa wanadai kuwa na tumaini la kimbingu.
-
-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
[Picha katika ukurasa wa 315]
“Wenye furaha ni wale ambao . . . wamkini kupata mwingilio ndani ya jiji kupitia malango yalo”
-