-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya NyakatiMnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 1
-
-
ORODHA MUHIMU YA MAJINA
Orodha ya majina ya ukoo ambayo Ezra alikusanya ni muhimu kwa angalau sababu tatu: kuhakikisha kwamba ni watu wanaoruhusiwa peke yao ndio wanaotumika wakiwa makuhani, kusaidia kutambua urithi wa kikabila, na kuhifadhi rekodi ya ukoo wa Masihi. Rekodi hiyo ina historia ya Wayahudi kurudi nyuma mpaka kwa mtu wa kwanza.
-
-
Mambo Makuu Katika Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya NyakatiMnara wa Mlinzi—2005 | Oktoba 1
-
-
1:1–9:44. Ukoo wa watu halisi unathibitisha kwamba mpango wote wa ibada ya kweli unategemea mambo ya hakika wala si hadithi tu.
-