-
Ona Jina la Mungu Nchini DenmarkAmkeni!—2009 | Novemba
-
-
Baadaye, Luther alimwomba mshiriki wake, Johannes Bugenhagen, atafsiri Biblia ya Luther katika Kijerumani cha Chini, yaani, lugha iliyozungumzwa upande wa kaskazini wa Ujerumani na kusini ya Denmark. Katika maneno ya utangulizi ya tafsiri ya 1541 (toleo la kwanza lilichapishwa mnamo 1533), Bugenhagen alitaja jina la Mungu mara kadhaa, na akasema hivi pia: “Yehova ni jina takatifu la Mungu.”
-
-
Ona Jina la Mungu Nchini DenmarkAmkeni!—2009 | Novemba
-
-
[Picha katika ukurasa wa 25]
Johannes Bugenhagen alitumia jina la Mungu katika maneno ya utangulizi ya tafsiri ya Biblia ya Luther ya Kijerumani cha Chini, ya mnamo 1541
-