Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika Huduma
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Mwaka uliofuata akina ndugu walihamia Magdeburg kwenye vifaa bora zaidi. Walikuwa na majengo mazuri huko, mengine yaliongezwa, na vifaa vya kuchapa na kujalidi vitabu vikawekwa. Kufikia mwisho wa 1925, iliripotiwa kwamba uwezo wa kutokeza vitabu wa kiwanda hicho ungekuwa mkubwa angalau kama ule uliotumiwa kwenye makao makuu katika Brooklyn.

  • Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika Huduma
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 584]

      Katika Magdeburg, Ujerumani, Sosaiti ilianzisha kiwanda cha kuchapa wakati wa miaka ya 1920

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki