-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika 1896, Adolf Weber, katika Uswisi, alikuwa akitia matangazo katika magazeti ya lugha ya Kijerumani na kupeleka trakti Ujerumani kwa posta. Mwaka uliofuata depo ya fasihi ilifunguliwa katika Ujerumani ili kurahisisha ugawanyaji wa chapa ya Kijerumani ya Watch Tower, lakini matokeo yalikuja hatua kwa hatua.
-
-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Idadi ya waliokuwa wakipendezwa katika kweli hizo za Biblia iliongezeka hatua kwa hatua. Ijapokuwa ilikuwa ghali, mipango ilifanywa kutia nakala sampuli za Watch Tower magazetini nchini Ujerumani. Ripoti iliyotangazwa katika 1905 ilisema kwamba zaidi ya nakala 1,500,000 za sampuli hizo za Watch Tower zilikuwa zimegawanywa. Hiyo ilikuwa kazi kubwa iliyotimizwa na kikundi hicho kidogo.
-