Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika 1911, wakati wenzi wawili Wajerumani, akina Herkendell, walipofunga ndoa, bibi-arusi aliomba baba yake, ikiwa mahari, pesa kwa ajili ya fungate isiyo ya kawaida. Yeye na mume wake walifikiria kufunga safari ngumu ambayo ingechukua miezi mingi. Fungate yao ilikuwa safari ya kwenda kuhubiri katika Urusi ili kufikia watu wasemao Kijerumani huko. Hivyo kwa njia nyingi watu wa aina zote walikuwa wakishiriki na wengine yale waliyokuwa wamejifunza juu ya kusudi la Mungu lenye upendo.

  • Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 411]

      Hermann Herkendell, pamoja na bibi-arusi wake, walifunga safari ya miezi mingi wakati wa fungate yao wakahubirie wasemao Kijerumani katika Urusi

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki