Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mikusanyiko Uthibitisho wa Udugu Wetu
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Mwaka uliofuata, 1946, akina ndugu katika Ujerumani walipanga kuwe na mkusanyiko katika Nuremberg. Waliruhusiwa kutumia Zeppelinwiese, zilizokuwa hapo kwanza nyanja za kufanyia gwaride za Hitler. Katika siku ya pili ya mkusanyiko, Erich Frost, ambaye alikuwa amepatwa kibinafsi na unyama wa Gestapo na alikuwa ametumia miaka kadhaa katika kambi ya mateso ya Nazi, alitoa hotuba ya watu wote “Wakristo Watahiniwa Vikali.” Watu 3,000 kati ya umma wa Nuremberg walijiunga na wale Mashahidi 6,000 waliohudhuria kwa pindi hiyo.

  • Mikusanyiko Uthibitisho wa Udugu Wetu
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 268]

      Katika Nuremberg, Ujerumani, mwaka 1946, Erich Frost alitoa hotuba motomoto “Wakristo Watahiniwa Vikali”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki