Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Naibu mmoja wa mwenyekiti akasema: “Tunahitaji kujua vizuri zaidi mambo mnayoamini kwani hatuelewi baadhi yake. Kwa mfano, katika kitabu kimoja mnasema Mungu ataisafisha dunia na kuondoa serikali zote. Hatuelewi jambo hilo.” Ndugu Pohl alijibu hivi: “Mashahidi wa Yehova hawashiriki vurugu zozote. Ikiwa kitabu kinasema hivyo, kinarejezea unabii hususa wa Biblia. Mashahidi wa Yehova wanahubiri kuhusu Ufalme wa Mungu na uzima wa milele katika paradiso duniani.”

      Naibu huyo akasema, “Imani hiyo haina ubaya wowote.”

  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Baada ya kuandikishwa rasmi, kutoka kushoto hadi kulia: Theodore Jaracz, Michael Dasevich, Dmitry Livy, Milton Henschel, mfanyakazi katika wizara ya haki, Anany Grogul, Aleksey Verzhbitsky, na Willi Pohl

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki