-
Yohana Aona Yesu AliyetukuzwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Alikuwako “katikati ya vinara vya taa mtu fulani kama mwana wa binadamu, amevaa vazi ambalo lilifika chini kwenye nyayo, na amefungwa kwenye matiti kwa mshipi wa dhahabu.” (Ufunuo 1:13, NW)
-
-
Yohana Aona Yesu AliyetukuzwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kama makuhani wakuu wa kale wa Kiyahudi, yeye anavalia mshipi—mshipi wa dhahabu juu ya matiti yake ambapo unafunika moyo wake. Hilo linamaanisha kwamba yeye atatekeleza kwa moyo utume wake wa kimungu aliopokea kutoka kwa Yehova Mungu.—Kutoka 28:8, 30; Waebrania 8:1, 2.
-