-
Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
au kuvunjwa bakuli la dhahabu;
-
-
Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
Huenda “bakuli la dhahabu” likarejezea ubongo, ambao upo kwenye fuvu linalofanana na bakuli, na ambao umeunganishwa na uti wa mgongo. Ubongo ni kama dhahabu kwa sababu una thamani sana, na mtu hufa ubongo unapokoma kufanya kazi.
-