-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Jarida Bulletin (sasa Huduma Yetu ya Ufalme) la Kinorway la Aprili 1925 lilikuwa na tangazo hili lenye kufurahisha: “Tunawatangazia nakala ya kwanza ya The Golden Age katika Kinorway. Mnaweza kutuma maandikisho ya gazeti hilo.” Hiyo ilikuwa nakala ya Machi 1925 ya The Golden Age (sasa Amkeni!). Punde si punde, Golden Age la Kinorway lilikuwa likisomwa na wengi nchini Norway na Denmark. Kufikia 1936, Golden Age la Kinorway lilipobadilishwa jina na kuitwa Ny Verden (Ulimwengu Mpya), kulikuwa na watu 6,190 walioandikisha gazeti hilo.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 104]
“Golden Age” katika Kinorway
-