-
“Msimlipe Yeyote Uovu Kwa Uovu”Mnara wa Mlinzi—2007 | Julai 1
-
-
Neno “shikamaneni” limetafsiriwa kutokana na kitenzi cha Kigiriki kinachomaanisha kihalisi “kushikanisha kwa gundi (colle).” Mkristo ambaye ana upendo wa kweli anashikamana kwa nguvu sana au kwa uthabiti na sifa ya wema hivi kwamba haiwezi kutenganishwa na utu wake.
-
-
“Msimlipe Yeyote Uovu Kwa Uovu”Mnara wa Mlinzi—2007 | Julai 1
-
-
shikamaneni na mema.” (Waroma 12:9)
-