-
Miaka Sabini ya Kushikilia Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye MyahudiMnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 15
-
-
Mmoja wa Wakristo hao alikuwa mwanafunzi mwenzangu Lloyd Barry; na pia mmoja wa walimu, Albert Schroeder; na vilevile John Booth, mwangalizi wa Shamba la Ufalme (mahali ambako Shule ya Gileadi ilikuwa) baadaye wote hao walikuja kuwa washiriki wa Baraza Linaloongoza.
-
-
Miaka Sabini ya Kushikilia Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye MyahudiMnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 15
-
-
Baada ya miezi michache, niliombwa nirudi Betheli ya Brooklyn kwa ajili ya mazoezi zaidi. Wakati huo nilikuja kufahamiana na nguzo kama vile Milton Henschel, Karl Klein, Nathan Knorr, T. J. (Bud) Sullivan, na Lyman Swingle, wote hao walitumika pindi fulani katika Baraza Linaloongoza. Lilikuwa jambo lenye kujenga sana kuwaona akina ndugu hao wakifanya kazi na kuona jinsi walivyoshughulikia mambo kwa njia ya Kikristo. Uhakika wangu kuelekea tengenezo la Yehova uliimarika sana.
-