-
Coverdale na Biblia ya Kwanza Nzima Kuwahi Kuchapishwa Katika KiingerezaMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Muda mfupi baadaye, Thomas Cromwell, ambaye alikuwa mshauri mkuu wa mfalme, akiungwa mkono na Cranmer, aliyekuwa Askofu Mkuu wa Canterbury, waliona kwamba kulikuwa na uhitaji wa kufanyia marekebisho tafsiri ya Matthew’s Bible. Hivyo, akamwomba tena Coverdale afanyie marekebisho maandishi hayo yote. Mfalme Henry aliidhinisha toleo hilo jipya katika mwaka wa 1539 na akaagiza kwamba nakala za toleo hilo lililoitwa Great Bible, yaani, Biblia kubwa kwa sababu ya ukubwa wake, ziwekwe makanisani ili watu wote wazisome. Watu wote nchini Uingereza waliipokea Biblia hiyo kwa shauku nyingi.
-
-
Coverdale na Biblia ya Kwanza Nzima Kuwahi Kuchapishwa Katika KiingerezaMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Hata hivyo, alitumia jina la Mungu, Yehova, mara tatu katika ile tafsiri ya Great Bible.
-
-
Coverdale na Biblia ya Kwanza Nzima Kuwahi Kuchapishwa Katika KiingerezaMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Tafsiri ya Great Bible ya Coverdale “ilikuwa mkusanyo wa maandishi yote yaliyotumiwa kutokeza Biblia ya Kiingereza . . . kuanzia wakati ambao Tyndale alianza kutafsiri Agano Jipya,” kinasema kitabu The Bibles of England. Jambo muhimu ni kwamba tafsiri ya Coverdale ndiyo iliyowawezesha watu waliozungumza Kiingereza walioishi wakati huo wasome Biblia.
-