Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tangazeni Mfalme na Ufalme! (1919-1941)
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika 1933, Mashahidi wa Yehova walianza kutumia njia nyingine mpya ya kuhubiri. Mashine yenye kuchukulika ya kupigia sahani za santuri yenye kikuza-sauti na kipaaza-sauti ilitumiwa kusambazia mirekodi yenye mihadhara ya redio ya Ndugu Rutherford kwenye sahani za santuri zenye mwendo wa mizunguko 33 1/3 kwa dakika moja, katika majumba, bustani, na mahali pengine pa umma. Magari yenye vipaaza-sauti na mashua zenye vipaaza-sauti zilitumiwa pia kuvumisha ujumbe wa Ufalme.

  • Tangazeni Mfalme na Ufalme! (1919-1941)
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Mashua yenye vipaaza-sauti ikisambaza kwenye Mto Thames, katika London, Uingereza (juu)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki