Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unaishi Kupatana na Wakfu Wako?
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 1
    • Mfano mmoja ni Ernest E. Beavor wa Uingereza. Alikuwa Shahidi mwaka wa 1939 mwanzoni mwa Vita ya Ulimwengu ya Pili, na kuacha biashara yenye kusitawi ya upigaji picha ili awe mhudumu wa wakati wote. Kwa sababu ya kudumisha kutokuwamo kwa Kikristo, alifungwa gerezani kwa miaka miwili. Familia yake ilimuunga mkono, na mwaka wa 1950 watoto wake watatu wakahudhuria Shule ya Biblia ya Gileadi ya Watchtower huko New York, ili kuzoezwa kuwa mishonari. Ndugu Beavor alikuwa na bidii sana katika kazi yake ya kuhubiri hivi kwamba marafiki wake walimwita Har-Magedoni Ernie. Aliishi kwa uaminifu-mshikamanifu kupatana na wakfu wake, na alitangaza kukaribia kwa vita ya Mungu ya Har-Magedoni hadi alipokufa mwaka wa 1986. Hakuona wakfu wake kuwa sawa na kufanya kandarasi na Mungu kwa muda fulani!b—1 Wakorintho 15:58.

  • Je, Unaishi Kupatana na Wakfu Wako?
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Februari 1
    • [Picha katika ukurasa wa 16]

      Ernest Beavor aliwekea watoto wake kielelezo cha kuwa Mkristo mwenye bidii

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki