-
Jumba la Makumbusho la Uingereza LarekebishwaAmkeni!—2001 | Desemba 8
-
-
Maktaba ya Jumba la Makumbusho la Uingereza na Jumba lenyewe la Makumbusho lilifunguliwa kwa watu wote mwaka wa 1759. Jengo hilo lilimalizwa kujengwa mwaka wa 1852. Lakini katika 1997, maktaba hiyo, inayoitwa Maktaba ya Uingereza, ilihamishwa kwenye jengo jingine karibu na hapo, pamoja na vitabu milioni 12 na makumi ya maelfu ya hati na nishani.
-
-
Jumba la Makumbusho la Uingereza LarekebishwaAmkeni!—2001 | Desemba 8
-
-
Sehemu iliyovutia watu sana katika ua huo, unaoitwa Ua Mkubwa, ni kile Chumba cha Kusoma chenye dari la kuba. Tangu kilipoanza kutumiwa mwaka wa 1857, Chumba cha Kusoma kimependwa na watafiti kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Mohandas Gandhi, Charles Darwin, na Karl Marx ni baadhi ya watu maarufu ambao wametumia chumba hicho cha maktaba hiyo maarufu.
-