-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na yeye [mzee] akasema kwangu mimi: ‘Hawa ndio wale ambao huja kutoka dhiki kubwa, na wamefua majoho yao na wameyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo.
-
-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
24. Watu mmoja mmoja wa umati mkubwa wanastahilije kwa ajili ya kuokoka?
24 Watu mmoja mmoja wa umati mkubwa wanastahilije kwa ajili ya kuokoka? Yule mzee anamwambia Yohana kwamba “wamefua majoho yao na wameyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo.” Kwa maneno mengine, wao wamezoea imani katika Yesu akiwa Mkombozi wao, wamejiweka wakfu kwa Yehova, nao wameonyesha wakfu wao kwa ubatizo wa maji, na ‘wanashika dhamiri njema’ kwa mwenendo wao mnyoofu. (1 Petro 3:16, 21; Mathayo 20:28, NW) Hivyo, wao ni safi na waadilifu katika macho ya Yehova. Na wanajiweka wenyewe “bila doa kutoka ulimwengu.”—Yakobo 1:27, NW.
-