-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
kwa sababu Mwana-Kondoo, aliye katikati ya kiti cha ufalme, atachunga wao, na ataelekeza wao kwenye vibubujiko vya maji ya uhai. Na Mungu atapangusa kabisa kila chozi kutoka macho yao.” (Ufunuo 7:16, 17, NW)
-
-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
29 Ikiwa wewe ni mmoja wa ule umati mkubwa, hali yako njema ya moyo itakufanya wewe “upige kilio kikuu kwa shangwe,” si kitu ulazimike kuvumilia nini kwa habari ya manyimo na mikazo wakati wa miaka hii ya gizagiza ya mfumo wa Shetani. (Isaya 65:14, NW) Katika maana hiyo, hata sasa, Yehova anaweza ‘kupangusa kabisa kila chozi kutoka macho yako.’
-
-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Baada ya uharibifu huo kwisha, yule Mwana-Kondoo atakuelekeza wewe unufaishwe kikamili na “vibubujiko vya maji ya uhai” vyenye kutia uhai mpya, hivyo vikiwa vinawakilisha maandalizi yote ambayo Yehova anakufanyia wewe upate uhai wa milele. Imani yako katika damu ya Mwana-Kondoo itatetewa katika maana ya kwamba wewe utainuliwa polepole ufikie ukamilifu wa kibinadamu. Nyinyi wa umati mkubwa mtakuwa bila kifani miongoni mwa aina ya binadamu mkiwa yale “mamilioni” ambayo hayakulazimika hata kufa! Katika maana iliyo kamili zaidi, kila chozi litakuwa limekwisha panguswa kabisa kutoka macho yenu.—Ufunuo 21:4.
-