-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na yeye [mzee] akasema kwangu mimi: ‘Hawa ndio wale ambao huja kutoka dhiki kubwa, na wamefua majoho yao na wameyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo.
-
-
Umati Mkubwa Wenye Watu Wengi SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
23. Ni nini iliyo dhiki kubwa ambayo umati mkubwa “huja kutoka” hiyo?
23 Katika pindi ya mapema zaidi, Yesu alikuwa amesema kwamba kuwapo kwake katika utukufu wa Ufalme kungefikia upeo katika “dhiki kubwa kama ambayo haijapata kutukia tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka sasa, la, wala haitatukia tena.” (Mathayo 24:21, 22, NW) Katika utimizo wa unabii huo, wale malaika wataachilia pepo nne za dunia zikumbe mfumo wa ulimwengu wa Shetani. Cha kwanza kwenda kitakuwa ni Babuloni Mkubwa, milki ya ulimwengu ya dini bandia. Kisha, kwenye upeo wa dhiki hiyo, Yesu ataokoa mabaki duniani ya 144,000, pamoja na umati mkubwa wenye watu wengi sana.—Ufunuo 7:1; 18:2.
-